Ufafanuzi msingi wa varanga katika Kiswahili

: varanga1varanga2

varanga1

nomino

  • 1

    maneno ya kutia fujo.

    ghasia

Matamshi

varanga

/varanga/

Ufafanuzi msingi wa varanga katika Kiswahili

: varanga1varanga2

varanga2

kitenzi elekezi

  • 1

    ingilia kwa ghafla mazungumzo, agh. yasiyokuhusu.

Matamshi

varanga

/varanga/