Ufafanuzi wa vavagaa katika Kiswahili

vavagaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    enea kwa wingi; kuwa tele.

    ‘Habari imevavagaa kila mahali’
    tapakaa

Matamshi

vavagaa

/vavaga:/