Ufafanuzi wa veto katika Kiswahili

veto

nominoPlural veto

  • 1

    haki ya kikatiba ya kupinga muswada wa sheria au hatua ya kuchukuliwa.

Asili

Kng

Matamshi

veto

/vɛtɔ/