Ufafanuzi wa via katika Kiswahili

via

kitenzi sielekezi~lia, ~za

  • 1

    kosa kupata au kufikia kiwango cha kawaida cha ukuaji wa kiumbe.

    ‘Tunda hili limevia’
    ‘Mtoto huyu amevia mno’
    kundaa, finyaa, sinyaa, dumaa, runda, bundia

Matamshi

via

/vija/