Ufafanuzi wa video katika Kiswahili

video

nominoPlural video

  • 1

    chombo chenye umbo la sanduku kinachotumiwa kurekodi matangazo au picha iliyo katika televisheni au kutoa picha zilizorekodiwa na kuzionyesha katika televisheni.

  • 2

    picha inayoonyeshwa katika televisheni kutoka katika chombo cha video.

Asili

Kng

Matamshi

video

/vidɛjɔ/