Ufafanuzi msingi wa vilevile katika Kiswahili

: vilevile1vilevile2

vilevile1

kiunganishi

  • 1

    ‘Hata ndugu zake walifika vilevile’

Matamshi

vilevile

/vilɛvilɛ/

Ufafanuzi msingi wa vilevile katika Kiswahili

: vilevile1vilevile2

vilevile2

kielezi

  • 1

    pia.

    ‘Hata ndugu zake walifika vilevile’
    kadhalika, aidha, tena

Matamshi

vilevile

/vilɛvilɛ/