Ufafanuzi wa vilia katika Kiswahili

vilia

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha

  • 1

    fanya athari katika sehemu ya mwili kwa sababu ya mishipa ya damu kupasuka na bila ya damu hiyo kutoka nje ya ngozi, hasa baada ya mtu kujigonga au kujibana.

Matamshi

vilia

/vilija/