Ufafanuzi msingi wa vimba katika Kiswahili

: vimba1vimba2

vimba1

kitenzi sielekezi

 • 1

  -ja juu kwa kitu au sehemu ya mwili.

  ‘Uso wangu umevimba’
  tuna, fura, vuvumuka

 • 2

  kuwa na hasira.

  ghadhibika

 • 3

  nenepa sana.

Matamshi

vimba

/vimba/

Ufafanuzi msingi wa vimba katika Kiswahili

: vimba1vimba2

vimba2

kitenzi elekezi

 • 1

  funika paa la nyumba kwa makuti, nyasi au mabati.

  ezeka

Matamshi

vimba

/vimba/