Ufafanuzi wa vimbiwa katika Kiswahili

vimbiwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na hali ya tumbo kujaa kupita kiasi kwa sababu ya chakula kutosagika tumboni au kula kwa wingi kwa wakati mmoja.

    ‘Alikula mpaka akavimbiwa’

Matamshi

vimbiwa

/vimbiwa/