Ufafanuzi wa vinginevyo katika Kiswahili

vinginevyo

kielezi

  • 1

    kwa namna iliyo tofauti na ya awali; isipofanyika hivyo.

    ‘Kula chakula sasa, vinginevyo kitapoa’

Matamshi

vinginevyo

/vinginɛvjɔ/