Ufafanuzi msingi wa vinya katika Kiswahili

: vinya1vinya2

vinya1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    rusharusha kitu au mtu k.v. mtoto wakati wa kumbembeleza.

Matamshi

vinya

/viɲa/

Ufafanuzi msingi wa vinya katika Kiswahili

: vinya1vinya2

vinya2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tetema mdomo au mkia.

    ‘Alikuwa amekasirika sana, mdomo ukawa unamvinya’

Matamshi

vinya

/viɲa/