Ufafanuzi wa vipi katika Kiswahili

vipi

kielezi

  • 1

    neno linalotumika kuuliza jinsi, hali au namna jambo au kitu kilivyo au kilivyotendeka.

  • 2

    namna gani.

    ‘Mtakaa vipi watu watatu kiti kimoja?’
    mbona

Matamshi

vipi

/vipi/