Ufafanuzi wa viringa katika Kiswahili

viringa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kitu kiwe na umbo la duara.

    ‘Viringa tonge’
    ‘Viringa ngumi’

Matamshi

viringa

/viringa/