Ufafanuzi wa viringana katika Kiswahili

viringana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika umbo la duara.

Matamshi

viringana

/viringana/