Ufafanuzi wa virusi katika Kiswahili

virusi

nomino

  • 1

    viumbehai ambao kiumbile hawajafikia ngazi ya seli, ambao ni wadogo sana na huonekana kwa kutumia hadubini, wanaoambukiza watu au wanyama maradhi.

Matamshi

virusi

/virusi/