Ufafanuzi wa visivyo katika Kiswahili

visivyo

kielezi

  • 1

    kwa namna isiyo sahihi au isiyotakikana.

    ‘Amefanya visivyotarajiwa’

Matamshi

visivyo

/visivjɔ/