Ufafanuzi wa vitamini katika Kiswahili

vitamini

nominoPlural vitamini

  • 1

    virutubisho muhimu vinavyopatikana katika aina mbalimbali za vyakula ambavyo ni muhimu kuufanya mwili uwe na afya na kukua.

Asili

Kng

Matamshi

vitamini

/vitamini/