Ufafanuzi wa vivi hivi katika Kiswahili

vivi hivi

kielezi

  • 1

    bila ya kuwa vingine.

    ‘Aliondoka vivi hivi , hakuvaa viatu’

Matamshi

vivi hivi

/vivi hivi/