Ufafanuzi wa vizia katika Kiswahili

vizia

kitenzi elekezi

  • 1

    jificha mahali ili kungojea au kufuatia taratibu kitu au mtu ili umshike au umpige.

    nyemelea, nyapa, otea

Matamshi

vizia

/vizija/