Ufafanuzi wa vizuri katika Kiswahili

vizuri

kielezi

  • 1

    bila ya kuwa katika hali mbaya.

    ‘Mambo yote yamekwenda vizuri’
    sawa, vyema, barabara

Matamshi

vizuri

/vizuri/