Ufafanuzi wa vocha katika Kiswahili

vocha

nominoPlural vocha

  • 1

    fomu maalumu ya kutolea fedha ambamo jina la anayelipwa, kiasi cha fedha na sababu ya malipo huandikwa.

  • 2

    kipande cha thamani ya malipo k.v. muda wa maongezi katika simu.

Asili

Kng

Matamshi

vocha

/vɔtʃa/