Ufafanuzi wa volkano katika Kiswahili

volkano

nominoPlural volkano

  • 1

    mlipuko mkali wa moto unaotokea chini ya ardhi na kumwaga zaha ambayo agh. hufanya milima juu ya ardhi.

Asili

Kng

Matamshi

volkano

/vɔlkanɔ/