Ufafanuzi wa vuata katika Kiswahili

vuata

kitenzi elekezi

  • 1

    tia kitu k.v. tumbaku baina ya mdomo wa chini na meno kwa ajili ya uraibu.

  • 2

    vuta kitu cha majimaji na kuingia katika kitu kingine k.v. kikausho cha wino.