Ufafanuzi wa vue katika Kiswahili

vue

nomino

  • 1

    nyasi zinazomea mahali kusiko na miti mingi.

Matamshi

vue

/vuwɛ/