Ufafanuzi wa vugaza katika Kiswahili

vugaza

kitenzi elekezi

  • 1

    funga mlango bila ya kutia komeo au kufuli.

    shindika

Matamshi

vugaza

/vugaza/