Ufafanuzi wa vugo katika Kiswahili

vugo

nominoPlural vugo

  • 1

    ngoma inayochezwa na wanawake wa mwambao wa pwani ya Afrika Mashariki kwa kupiga pembe, agh. za ng’ombe.

  • 2

    pembe, agh. ya ng’ombe, inayochezewa ngoma hiyo.

Matamshi

vugo

/vugɔ/