Ufafanuzi msingi wa vuguvugu katika Kiswahili

: vuguvugu1vuguvugu2

vuguvugu1

kivumishi

 • 1

  bila ya kuwa na moto au joto sana.

  ‘Maji vuguvugu’
  fufutende

Matamshi

vuguvugu

/vuguvugu/

Ufafanuzi msingi wa vuguvugu katika Kiswahili

: vuguvugu1vuguvugu2

vuguvugu2

nominoPlural mavuguvugu

 • 1

  mchocheo wa harakati wa kufanya jambo k.v. siasa.

  ‘Vuguvugu la mapinduzi’
  ‘Vuguvugu la siasa’
  msisimko

Matamshi

vuguvugu

/vuguvugu/