Ufafanuzi wa vuja katika Kiswahili

vuja

kitenzi sielekezi

  • 1

    pita kwa kitu mahali penye upenyo, ufa au tundu.

    ‘Debe hili linavuja’
    ‘Gunia hili linavuja kwa sababu limepasuka’
    ‘Paa la nyumba linavuja’

Matamshi

vuja

/vuja/