Ufafanuzi msingi wa vulio katika Kiswahili

: vulio1vulio2

vulio1

nominoPlural mavulio

  • 1

    nguo au vazi kuukuu apewalo mtu baada ya kuwa limevaliwa na mwingine.

    mtumba

Matamshi

vulio

/vulijɔ/

Ufafanuzi msingi wa vulio katika Kiswahili

: vulio1vulio2

vulio2

nominoPlural mavulio

  • 1

    ngozi ya nyoka iliyokwisha kuchunwa na kuambuliwa.

Matamshi

vulio

/vulijɔ/