Ufafanuzi wa vumbika katika Kiswahili

vumbika

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    funika au fukia matunda katika vumbi, majani au udongo kwa muda fulani ili yapate kuiva.

    pepea

Matamshi

vumbika

/vumbika/