Ufafanuzi wa vumburuka katika Kiswahili

vumburuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shtuka ghafla na kwenda mbio.

    kurupuka

Matamshi

vumburuka

/vumburuka/