Ufafanuzi wa vumilia katika Kiswahili

vumilia

kitenzi elekezi

  • 1

    endelea na jambo ingawa lina msukosuko na taabu; kuwa na subira.

    mezea, subiri, himili, chukua, stahimili

Matamshi

vumilia

/vumilija/