Ufafanuzi wa vumo katika Kiswahili

vumo

nominoPlural mavumo

  • 1

    tunda la mvumo linalofanana na koma.

Matamshi

vumo

/vumɔ/