Ufafanuzi wa vuna katika Kiswahili

vuna

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    ondoa mazao k.v. matunda au mahindi shambani baada ya kukomaa.

    ‘Msimu wa kuvuna umewadia’

Matamshi

vuna

/vuna/