Ufafanuzi msingi wa vunana katika Kiswahili

: vunana1vunana2

vunana1

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa katika hali inayotakikana; kuwa katika hali nzuri.

Matamshi

vunana

/vunana/

Ufafanuzi msingi wa vunana katika Kiswahili

: vunana1vunana2

vunana2

nomino

  • 1

    wali au chakula chochote kilichopikwa na ambacho kiko katika hali ya kulika lakini hakijakauka majimaji yake vizuri.

Matamshi

vunana

/vunana/