kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha
- 1
kuwa katika hali ya kuchachuka hadi kufikia kiasi cha kutoa ukungu.
kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha
- 1
toa harufu mbaya ya kuoza.
methali ‘La kuvunda halina ubani’oza
kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha
- 1‘Mali ilivunda nguu na milima ikalala’methali ‘Cha kuvunda hakina rubani’