Ufafanuzi wa vundevunde katika Kiswahili

vundevunde

nominoPlural mavundevunde

  • 1

    mawingu meupe yanayotanda angani na kusababisha kuweko kwa giza.

    mavunde, ukungu

Matamshi

vundevunde

/vundɛvundɛ/