Ufafanuzi msingi wa vunga katika Kiswahili

: vunga1vunga2vunga3

vunga1

nominoPlural mavunga

 • 1

  nywele nyingi na ndefu ambazo hazitunzwi.

  ‘Mtoto huyu anapenda sana kuweka vunga la nywele’

Matamshi

vunga

/vunga/

Ufafanuzi msingi wa vunga katika Kiswahili

: vunga1vunga2vunga3

vunga2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  sema maneno yasiyokuwa kweli.

  danganya, ongopa

Matamshi

vunga

/vunga/

Ufafanuzi msingi wa vunga katika Kiswahili

: vunga1vunga2vunga3

vunga3

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  tatiza kitu k.v. kitambaa juu ya kitu kingine.

Matamshi

vunga

/vunga/