Ufafanuzi wa vunganyiza katika Kiswahili

vunganyiza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tenda jambo ovyoovyo.

Matamshi

vunganyiza

/vungaɲiza/