Ufafanuzi wa vungunya katika Kiswahili

vungunya

nominoPlural mavungunya

  • 1

    tunda kubwa k.v. buyu lakini refu linaloning’inia mtini kwa kushikiliwa na ugwe mrefu.

    yegeya

Matamshi

vungunya

/vunguɲa/