Ufafanuzi wa vungwi katika Kiswahili

vungwi

nomino

  • 1

    samaki wa jamii ya chewa au zumburu mwenye kinywa kipana na madoa meupe na meusi.

Matamshi

vungwi

/vungwi/