Ufafanuzi msingi wa vunja katika Kiswahili

: vunja1vunja2vunja3vunja4

vunja1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  fanya kitu kigumu kiwe vipande.

  methali ‘Vunja dari uezeke paa’
  ekua, tema, pasua, banja

Ufafanuzi msingi wa vunja katika Kiswahili

: vunja1vunja2vunja3vunja4

vunja2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  kutofuata; kutotimiza; kutoendelea.

  ‘Vunja ahadi’
  ‘Vunja baraza’
  ‘Vunja mkataba’
  ‘Vunja mazungumzo’
  badili, batili, pangua

Ufafanuzi msingi wa vunja katika Kiswahili

: vunja1vunja2vunja3vunja4

vunja3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  enda kinyume cha k.v. kanuni au taratibu zilizowekwa.

  ‘Vunja sheria’
  ‘Vunja mwiko’
  daathari, kiuka

Ufafanuzi msingi wa vunja katika Kiswahili

: vunja1vunja2vunja3vunja4

vunja4

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  ‘Mwanariadha wa Kenya amevunja rekodi ya mbio za meta 100’

Matamshi

vunja

/vunʄa/