Ufafanuzi wa vunja jungu katika Kiswahili

vunja jungu

msemo

  • 1

    fanya sherehe ya kuuaga muda fulani na kuukaribisha muda mwingine.