Ufafanuzi msingi wa vunjika katika Kiswahili

: vunjika1vunjika2

vunjika1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  kuwa katika vipande viwili au zaidi, agh. kwa vitu k.v. chuma, mti, mfupa, n.k..

  kecheka

 • 2

  vunda

Matamshi

vunjika

/vunʄika/

Ufafanuzi msingi wa vunjika katika Kiswahili

: vunjika1vunjika2

vunjika2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  acha kuendelea kwa k.v. mkutano, baraza au mazungumzo.

Matamshi

vunjika

/vunʄika/