Ufafanuzi msingi wa vuruga katika Kiswahili

: vuruga1vuruga2

vuruga1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

 • 1

  tia kitu cha majimaji kwenye kitu kingine k.v. unga au udongo na kuchanganya pamoja kwa mikono.

  koroga

Matamshi

vuruga

/vuruga/

Ufafanuzi msingi wa vuruga katika Kiswahili

: vuruga1vuruga2

vuruga2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

 • 1

  ondoa katika mpango wake.

  ‘Vuruga mambo’
  ‘Vuruga vitabu’
  ‘Vuruga akili’
  tibua, buruga, tabanga, chafua, sukasuka, bananga, hujumu, korofisha, tatanisha, chakura, pangua, paraganya

Matamshi

vuruga

/vuruga/