Ufafanuzi wa vurugika katika Kiswahili

vurugika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kutokuwa katika mpango unaotakiwa.

    sambaratika

Matamshi

vurugika

/vurugika/