Ufafanuzi wa vurujua katika Kiswahili

vurujua

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kigumu kiwe laini au kiwe vipandevipande.

Matamshi

vurujua

/vuruʄuwa/