Ufafanuzi wa vurumai katika Kiswahili

vurumai

nominoPlural vurumai

  • 1

    hali ya kutokuweko na makini au kusikilizana.

    fujo, zogo, ghasia, vurugu, tandabelua, songombigo, kizaazaa, rangaito, kivangaito

Matamshi

vurumai

/vurumaji/