Ufafanuzi msingi wa vuta katika Kiswahili

: vuta1vuta2

vuta1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    peleka au buruta kitu kwa kutumia k.v. mkono, kamba au sumaku, kutoka mahali pamoja hadi pengine.

Ufafanuzi msingi wa vuta katika Kiswahili

: vuta1vuta2

vuta2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya watu wakubaliane na linalosemwa au linalotendwa.

    shawishi

Matamshi

vuta

/vuta/