Ufafanuzi wa vuvumuka katika Kiswahili

vuvumuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ongezeka ghafla kwa ukubwa.

    vimba

Matamshi

vuvumuka

/vuvumuka/